Mbunge wa Hai Freeman Mbowe alisimama Bungeni leo na kuumuliza live Waziri Mkuu kuhusu Serikali kushindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwemo sakata la ESCROW, Mabilioni ya Uswiss pamoja na Tokomeza….. HII VIDEO HAPA CHINI INA MASWALI YOTE NA MAJIBU
ULIPITWA? NAPE NNAUYE ASEMA ‘HAWA WANANCHI HAWATOTURUDISHA TENA‘ tazama kila alichosema kwenye hii video hapa chini