Leo February 8, 2019 Zuch Zuchero kama kawaida yake amezama Mtaani kuongea na Watanzania ili waweze funguka mitazamo yao na leo kauliza swali moja tu, umempeleka Mrembo wako guest ambaye ametoka Kijijini ile kulala kuamka asubuhi unakuta kapiga deki guest nzima wewe utafanyaje?.
WAKIMBIZI WAFURAHI KUMUONA ALIEMUOMBA RADHI RAIS MAGUFULI IKULU