November 9, 2018 mkutano wa 13 wa Bunge la 11 umeendelea Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu miongoni mwa yaliyosikika ni kutoka kwa mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe aliyeihoji kuhusu hatua ya Serikali kufungua kesi dhidi ya kampuni ya Barrick na Acacia ambapo Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akakataa kujibu.
DC Chunya alivyozama porini kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji