Habari za Mastaa

Mkali Marioo katuletea video mpya ya ‘Beer Tamu’ itazame hapa

on

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Marioo ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Beer Tamu.

Unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

JOL MASTER NA LEONARDO WATAMBIANA KUELEKEA SHOW YAO, WAFUNGUKA CHEKA TU ILIVYOWAFUNGULIA DUNIA

Soma na hizi

Tupia Comments