Ikiwa ni siku chache baada ya kutokea kwa tukio la mauaji ya mwanadada Naomi Marijani alilofanyiwa na Mumewe kwa kuchomwa moto kisha majivu yake kufukiwa, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri amefika eneo la tukio na kuzungumza na wananchi wa Geza Ulole kata ya Gizani.
“LIPA ASILIMIA ULIZONAZO, MIMI NAKUKOPA ASILIMIA 50 MTOTO AENDE ASOME” MOLLEL