Kama unakumbuka hivi karibuni Rais Dk. John Magufuli akiwa kwenye ziara yake mkoani Mara alimpigia simu Waziri wa ardhi, William Lukuvimu baada ya kukutana na mgogoro wa ardhi kati ya tajiri mmoja na bibi kizee aitwaye Nyasasi Masike huko Bunda ili kupata maelezo ya mgogoro huo.
Baada ya kupigiwa simu Waziri Lukuvi alitoa maelezo yake akionyesha kuutambua uwepo wa mgogoro huo na kumwambia Rais kuwa alishatoa maagizo kwa kamishna wa ardhi kanda hiyo na mkuu wa wilaya pamoja na mkoa huo kwa pamoja washughulikie suala hilo
Sasa leo September 7 2018 Waziri Lukuvi akiwa kwenye ziara eneo la PUGU Stesheni, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alipata nafasi ya kukumbushia tukio la Waziri huyo kupigiwa simu na Rais Magufuli na kumsifu alivyokumbuka mgogoro wa ardhi wa bibi huko Bunda, Bonyeza playa hapa chini kutazama video hii..
Ulikosa? DALALI MAKONTENA YA MAKONDA AFUNGUKA, ”Msiogope Kauli”, Bonyeza play hapa chini kutazama