Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Hamza Johari ametangaza kuwa Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkuu wa watoa huduma za usafiri wa anga barani Afrika wenye lengo la kuandaa mpango mkakati wa kuboresha sekta ya usafiri huo kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.