Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Nani hataki kucheza tena na mchezaji kama Neymar”-Suarez

on

Siku moja baada ya Rais wa PSG Nasser Al Khelaifi kueleza kuwa club ya PSG haikumlazimisha staa wa Brazil Neymar ajiunga na timu yao huku ikidaiwa staa huyo ana mpango wa kurudi FC Barcelona.

Staa wa FC Barcelona Luis Suarez baada ya kuzipata taarifa hizo kaweka wazi msimamo wake  na shauku yake, juu ya ujio mpya wa Neymar kama taarifa hizo zitakuwa kweli na kueleza kuwa ammiss ‘MSN’ irudi.

“Ni fursa ya kipee kwangu mimi kuwa na misimh mizuri katika maisha yangu ya soka ndani ya Barcelona nikiwa na wachezaji bora duniani Messi na wapili kwa ubora Neymar, nani hatofurahia kucheza na mchezaji bora tena kama Neymar” >>>Suarez

Soma na hizi

Tupia Comments