Michezo

Mwenyekiti wa Halmashauri ahamia Simba “sitaki maumivu Yanga” (+video)

on

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Pangani Seif Ally ambaye alikuwa shabiki wa timu ya Yanga amehamia timu ya Simba kwa madai kuwa amechoshwa na maudhi ya timu hiyo kwani haina malengo ya kufanya vizuri katika michuano ya Kimataifa hivyo ni vyema afuate furaha ambayo wanaipata mashabiki wa Simba kwa sasa.

DC ZAINABU “MSICHUKULIE MAMBO POA, UKIKAMATWA NA MAGENDO UTAKUWA MFANO”

Soma na hizi

Tupia Comments