Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Travis Scott amsaliti Kylie Jenner wapeana nafasi
Share
Notification Show More
Latest News
Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
September 22, 2023
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
September 22, 2023
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
September 22, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Travis Scott amsaliti Kylie Jenner wapeana nafasi
Habari za Mastaa

Travis Scott amsaliti Kylie Jenner wapeana nafasi

March 18, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mfanyabiashara Kylie Jenner pamoja na mzazi mwenzake Travis Scott penzi lao limeonekana kuwa na dosari baada ya kuelezwa kuwa wawili hao waliingia kwenye ugomvi mwezi uliopita.

Inaelezwa kuwa Kylie Jenner alidai kukuta ujumbe wenye ushahidi wa usaliti kwenye simu ya mpenzi wake Travis Scott na ndipo hapo ukaribu wao ulipoanza kufifia huku taarifa nyingine zikidai kuwa Kylie Jenner hana dalili za kumsamehe Travis na hivyo itakuwa ngumu kwa wawili hao kurudisha ukaribu waliokuwa nao kabla.

Inaripotiwa kuwa  kwa sasa Kylie ampa mtoto wake Stormi kipaumbele zaidi pamoja na biashara zake za urembo (Kylie Cosmetics) na hataki mtu yeyote kuingilia vitu hivyo na ishu nzima ya kuweka sawa mahusiano yake na Travis Scott.

VIDEO: Siwezi kujichubua huo muda sina, Bongomovie wakongwe wanasumbua sana location’

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

TAGGED: bongoflevanews
Admin March 18, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwenyekiti wa Halmashauri ahamia Simba “sitaki maumivu Yanga” (+video)
Next Article DC Pangani “Msichukulie mambo poa, ukikamatwa na magendo utakuwa mfano” (+video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Sudan:Burhan aonya vita vya Sudan vinaweza kusambaa hadi kwa majirani
Top Stories September 22, 2023
Tunisia yamwachilia mchora katuni aliye kamatwa kwa michoro inayomdhihaki waziri mkuu
Top Stories September 22, 2023
Wanafunzi 90 wa shule ya msingi wamelazwa hospitalini baada ya kula keki zenye bangi
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 21, 2023

September 21, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 19, 2023

September 19, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 19, 2023

September 19, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 18, 2023

September 18, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?