January 21, 2019 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad amefika mbele ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge baada ya Spika Job Ndugai kuagiza afike na kuhojiwa kuhusu tuhuna za kauli aliyoitoa kwamba Bunge ni dhaifu.
Baada ya kikao cha mahojiano Mwenyekiti wa Kamati hiyo Emmanuel Mwakasaka akazungumza na Waandishi wa habari kuhusu yaliyotokea kwenye kamati.
MBELE YA RAIS MAGUFULI ANGELA KAIRUKI AMEAPA “SITATOA SIRI”