AyoTV na millardayo.com imekutana na hii kutoka Kijiji cha Nyawilimilwa Geita Vijijini, Mmiliki wa mashine ya kusaga unga wa mahindi ameongeza thamani ya Biashara yake kwa kuweka Television ndani.
Mmiliki anasema hivi “Niliona ni weke Television ndani ili wateja wakija kusaga wawe wanaburudika, mauzo ni mazuri hadi wenzangu wanasema nipo freemason kumbe ni maboresho”
KIZAAZAA CHA RC MWANRI “ITALIWA MBELE YA MACHO YAKO, ROGENI KIJIJI KIZIMA”