Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe akilieleza Bunge kuhusu baadhi ya kampuni zilizofanya malipo kwa Marehemu King Majuto na Marehemu Kanumba kufuatia kamati ya kupitia mikataba ya wasanii aliyoiunda. Waziri Mwakyembe ameeleza hayo wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2019/20