Top Stories

RC Mbeya “kiama waliotafuna fedha za Airport chaja, JPM kagoma kutoa Bilioni 18” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila akipokea ndege mpya aina ya Airbus-220-300 iliyopewa jina la Dodoma amesema muda si mrefu kiama kinakuja kwa waliotafuna fedha za uboreshwaji wa Uwanja wa ndege wa Songwe.

JULIANA SHONZA “ACHENI KIKI ZA KIJIGA, SIWEZI KUACHA KAZI KISA VITISHO”

Soma na hizi

Tupia Comments