Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

“Serikali inatumia nguvu nyingi, mtajuta kwa miaka mitano” DC Chunya (+video)

on

Wananchi Wilaya ya Chunya wamehimizwa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili wapate fursa ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika nchini Novemba 24 mwaka huu.

akiwa katika Kata ya Matundasi Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wananchi kutumia siku zilizoongezwa vinginevyo watajuta kwa kuchaguliwa Viongozi wasio.

MAKALA: KILIO WAKULIMA WA PAMBA KUTOLIPWA, TAMKO LA RAIS MAGUFULI, MAELEZO YA MNUNUZI

Soma na hizi

Tupia Comments