Top Stories

Bilioni 13.2 zimetumika kufunga mashine za kupimia damu (+video)

on

Waziri wa Afya, Mendeleo ya Jami, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema Tanzania ni nchi ya pili kwa kufunga mashine za kisasa za kufunga damu baada ya Afrika Kusini, mashine hizo zinagharimu Bilioni 13.2 na zimefungwa katika ofisi za damu salama katika Kanda nane nchini.

MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI KWA WAGONJWA NJE YA NCHI

Soma na hizi

Tupia Comments