Michezo

MO Dewji achangia Bilioni 2 MO Arena

on

Mfanyabiashara ameahidi kuchangia TZS bilioni 2 katika ujenzi wa uwanja wa Klabu ya Simba. Amesema amepokea maoni ya watu wengi na kwamba wapo tayari kuchangia, hivyo ameiomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka wa kuanza utekelezaji.

“Nimepokea maoni mengi ya WanaSimba wenzangu wakishauri tujenge uwanja wetu na wako tayari kuchangia ili tufanikishe ujenzi huo. Naomba kuweka wazi kwamba nimepokea maoni hayo kwa mikono miwili” Mohammed Dewji

“Naomba Bodi ya Simba kukaa na kuja na utaratibu wa haraka ili jambo hili lianze utekelezaji. Kwa Kuanza naahidi kuchangia Tsh. 2 billioni. Nawaomba wanasimba tuchange sote” Mohammed Dewji

VITUKO VYA SHABIKI WA YANGA FULL MBWEMBWE APIGA GWANDA ZA KIJESHI NA BUNDUKI

Soma na hizi

Tupia Comments