Breaking News

BREAKING: Mohammed Dewji apatikana akiwa hai, huyu hapa akiongea (+video)

on

Mfanyabiashara Bilionea wa Tanzania Mohammed Dewji amepatikana akiwa hai Dar es salaam usiku wa kuamkia Jumamosi ya October 20 2018 huku taarifa za awali zikidai Watekaji walimtupa maeneo ya Gymkana.

Familia yake ilipokea simu ya Mo kwenye mida ya saa nane na dakika 30 -40 na kukimbia kwenda kumfata maeneo ya Gymkana, akiwa pembeni ya Makamanda wa Polisi wakiongozwa na Lazaro Mambosasa wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Mohammed Dewji aliongea kwa ufupi, unaweza kutazama kwenye hii video fupi hapa chini.

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments