Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya CEO Bora wa Afrika 2017
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
December 4, 2023
Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope
December 4, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya CEO Bora wa Afrika 2017
Mix

Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya CEO Bora wa Afrika 2017

March 21, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (MeTL Group) Mohammed ‘MO’ Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Bora wa Mwaka wa Afrika 2017.

Tuzo hizo hutolewa na Jukwaa la Wakurugenzi Watendaji Afrika ‘Africa CEO Forum’ akiwashinda CEO wa BUA Group Abdulsamad Rabiu, CEO wa Cevital Issad Rebrab, CEO wa OTMT Investments Naguib Sawiris. Wengine aliowashinda kwenye tuzo hiyo ni CEO wa Bakhresa Group, Said Salim Awadh Bakhresa na CEO wa Econet Strive Masiyiwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mohammed Enterprises (MeTL Group) Mohammed ‘MO’ Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu 'CEO' Bora wa Afrika 2017 pic.twitter.com/Vi5dJ4XLV2

— millardayo (@millardayo) March 21, 2017

VIDEO: Bilionea mtanzania katoa sababu za kwanini hajanunua ndege binafsi, Bonyeza play hapa chini kutazama

You Might Also Like

Wanafunzi wazidi kunufaika na elimu ya kupinga ukatili

Mgodi wa Barrick Mara kinara kodi ya Mauzo ya nje

Serengeti waunga mkono usawa wa kijinsia

Ditto Mahakamani kudai fidia ya Tsh Bilioni 6

Taasisi ya Hassan Maajar yakabidhi darasa la Kompyuta Shule ya Majengo

TAGGED: Africa
Millard Ayo March 21, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: ‘Rais itabidi awasikilize watu waliompa kura’-Bisimba, Mkurugenzi LHRC
Next Article VIDEO: Taarifa ikufikie kuelekea game za Taifa Stars vs Botswana na Burundi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
Top Stories December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
Top Stories December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
Sports December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
Sports December 4, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi

December 4, 2023
Top Stories

Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China

December 4, 2023
Sports

Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu

December 4, 2023
Sports

Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope

December 4, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?