SHABIKI AMLILIA DIAMOND NCHINI IVORY COAST, “ALISAFIRI KUTOKA UMBALI WA MASAA SITA KUJA KUMUONA”
Itakumbukwa kwamba Mabingwa watetezi, Simba SC wamefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la FA baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Pamba FC ya Mwanza.
Mabao ya Simba kwenye mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam yalifungwa na Peter Banda, Kibu Denis na
Yusufu Mhilu.
Wakati Simba ikipata matokeo hayo, Bernard Morrison alikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi na kushuhudia alichokifanya Morrison baada ya kuibuka uwanjani kama Shabiki.
SHABIKI AMLILIA DIAMOND NCHINI IVORY COAST, “ALISAFIRI KUTOKA UMBALI WA MASAA SITA KUJA KUMUONA”