Michezo

Morrison wa Simba SC amcharukia Manara “Usiung’ate mkono uliowahi kukulisha”

on

Ni Agosti 31, 2021 ambapo mchezaji wa Simba SC Bernard Morrison ameonekana kupitia mtandao wa instagram akirushiana vijembe na Haji Manara ambae kwasasa amehamia Yanga SC.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia stori kamili unaweza ukabonyeza play kusikiliza kile kilichojiri kati ya wawili wao.

MANARA KAFUNGUKA BAADA YA YANGA SC KUFUNGWA “KUFUNGWA SIO AJABU”

 

Soma na hizi

Tupia Comments