Habari za Mastaa

Mrembo Ruby kuinogesha Kidimbwi Beach Jumapili hii ‘Sikukuu ya Pasaka’

on

Ni Msanii kutokea Bongo Flevani, Ruby ambae Jumapili ya April 17, 2022 Sikukuu ya Pasaka anatarajia kuwaimbia live mashabiki hususani wakazi wa Dar es Salaam.

Staa huyo kwa mara ya kwanza ameahidi kufanya makubwa katika jukwaa litakalofungwa katika fukwe za Kidimbwi Beach iliyopo Mbezi.

Kwa mujibu wa waandaji wa Tamasha hilo amesema lengo ni kuendelea kuwapa thamani wasanii wandani ili Muziki uendelee kukua zaidi na zaidi pia msanii ajipatie riziki.

FULL SHANGWE ‘SHO MADJOZI’ AKIWAIMBIA LIVE WATANZANIA ‘MAMA AMINA’ YA MARIOO KIDIMBWI BEACH DSM

 

MIMI MARS MSIBANI KWA MAUNDA, KAFUNGUKA ALIVYOMUITIA MWIZI LUKA, NA UHUSIANO WAKE NA MARIOO

Tupia Comments