Tunaelekea kumaliza mwaka 2017 kuna mambo mengi tumeyapitia katika mwaka huu na kila mtu analo jambo la kukumbuka. leo December 29, 2017 Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza Ahmed Zahoro Msangi amekaa kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na AyoTV na millardayo.com
Msangi amezungumzia Ulinzi na usalama kwenye mkoa wa Mwanza pamoja na matukio ambayo hawezi kuyasahau mwaka 2017.
“Kitu nachojivunia ni mimi na Askari tumekuwa kitu kimoja, pili najivunia kuwa na ushirikianao na wananchi wasingekuwa wao tusingeweza kufanikiwa kulikuwa na matukio ya kutisha sana, wananchi walikuwa wanatoa taarifa ambayo unabamiza palepale,” – RPC. Msangi
Kumtazama Kamanda Msangi bonyeza PLAY katika hii video hapa chini
POLISI ARUSHA IMETAJA MAENEO KOROFI NA ADHABU KWA WATAKAOCHOMA MATAIRI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA