Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo leo December 29, 2017 amemtaka Askofu Kakobe kutofanya siasa kanisani badala yake kama anataka kufanya siasa akasajili kanisa lake kama chama cha siasa ili akapambane na wenzake.
Polisi Arusha imetaja maeneo korofi na adhabu kwa watakaochoma matairi
Usithubutu kukutwa unachoma matairi Dodoma