Videos

Baada ya Matonya kuachia hii video ya ‘nyumba ndogo’ , asema mwendo ni uleule

on

Mwimbaji Mkongwe wa Bongofleva Matonya sasa hivi anayo hii video mpya inaitwa “nyumba ndogo” ambayo ameiachia July 11 2017 na mpaka sasa imepata views zaidi ya elfu 90 kwenye Youtube.

Matonya anatambua biashara ya muziki wa Bongofleva ilivyobadilika ukilinganisha na kipindi hicho na ameahidi kukaza zaidi ili kwenda na upepo uliopo na ndio maana anatumia pesa nyingi kutengeneza video zake na kuiweka Brand yake sehemu nzuri.

Kama bado hujaitazama video yake ya ‘nyumba ndogo’ unaweza kubonyeza play hapa chini ujionee kisha usiache kuandika comment yako ili jioni akipita hapa kama kawaida ajue watu wake wanasemaje.

Ni kweli Madame Flora kasema Mwanaume asieridhisha kwenye mapenzi aachwe? bonyeza play hapa chini kumsikiliza Flora mwenyewe…

EXCLUSIVE: Naj ataja asichopenda kuulizwa tena kwenye Interview, play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

Tupia Comments