Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Moto wazuka wateketeza ofisi, Wananchi wakimbia Mtaa (+video)

on

Ni moto uliotokea Mkoani  Kigoma Mtaa wa Lumumba Kata ya Mwanga Kusini na kuweza kuunguza sehemu za nyumba baadhi  pamoja Ofisi ya  Kampuni ya mabasi ya Advanture ya mizigo.

Kwa mujibu wa meelezo ya Diwani wa Kata ya Mwanga Kusini Mussa Maulid amesema moto huo ulizukaa baada ya nguzo ya umeme kuanguka katika Mtaa huo.

DEREVA WA LORI AMUOGOPA MAGUFULI TAZAMA ALIVYOJITETEA “NILIKUWA NAPITA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments