Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Rais Magufuli awapa kazi Majaji wawili

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Ibrahim Sayida Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.

Jaji Mstaafu Mipawa anachukua nafasi Jaji Mstaafu Januari Msofe ambaye
ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, uteuzi wa Jaji Mstaafu Mipawa umeanza tarehe 07 Agosti, 2019.

DEREVA WA LORI AMUOGOPA MAGUFULI TAZAMA ALIVYOJITETEA “NILIKUWA NAPITA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments