Top Stories

Mtu mmoja afariki machimboni, DC aagiza uchimbaji usitishwe (+picha)

on

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa katika machimbo ya Moivaro yaliyopo Wilaya ya Arusha baada ya kifusi kuanguka na kuwafukia wakati wakichimmba mchanga.

Mkuu wa Wilaya ya Kenan Kihongosi ameagiza kufungwa kwa machimbo hayo baada ya kufunguliwa kinyemela ambapo mwaka jana ulifungwa baada ya kuua watu watatu.

Soma na hizi

Tupia Comments