Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Video iliyomnasa Gwajima akiondoka Mahakamani baada ya kuachiwa huru

on

Baada ya takribani miaka miwili na nusu leo September 15, 2017 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuachia huru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake katika kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha.

Mahakama hiyo imeamuru pia Gwajima arudishiwe begi lake lenye risasi, bunduki na mali nyingine kwa sababu hakuna ushahidi kwamba alizembea kuhifadhi.

Tazama kwa kuplay hii video kushuhudia Askofu Gwajima akitoka Mahakamani baada ya kuachiwa huru.

GWAJIMA AFUNGUKA ISHU YA LISSU KUPIGWA RISASI

Soma na hizi

Tupia Comments