Top Stories

Mwanzo mwisho wafanyakazi wa clouds wafunguka walivyopata ajali wakitoka kumzika RUGE

on

Alfajiri ya March 6, 2019 wafanyakazi sita wa Clouds Media Group amepata ajali ya gari katika eneo la Chamwino nje kidogo ya mkoa wa Dodoma wakati wakitokea Bukoba kwenye msiba wa aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Ruge Mutahaba, Ayo TV na millardayo.com imefunga safari hadi katika eneo la tukio pamoja na hospitali ya mkoa wa Dodoma na hapa imekusogezea kila kitu kilichotokea.

SHANGWE: MBOWE ALIVYOITWA NELSON MANDELA MAHAKAMANI

Soma na hizi

Tupia Comments