Mwanafunzi wa shule ya Osuyai Elibariki Lekine mwenye umri wa miaka 12 mkazi wa jiji la Arusha mtaa wa FFU amejiua kwa madai yakuwa na ugomvi na baba yake baada yakulazimishwa kwenda shule
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kamanda wa polisi Arusha Jonathan Shanna imesema kwamba mwanafunzi huyo anayesoma darasa la nne amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani
MEYA KINONDONI ALIVYOKUTANA NA WASANII KUKABIDHI MIKOPO WALIYOAHIDI