Mwanafunzi anayejukulikana kwa jina la Emmanuel Maguta anayesoma katika Chuo cha Makumira amemchoma kisu Mwanafunzi mwenzake Julieth Julius chazo ikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Akizungumzia tukio David Mkamba Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kilalanike katika Mtaa wa Makumira amesema alisikia makelele alipofika kwenye nyumba hiyo alimtaka kijana huyo kufungua mlango japo alikataa ndipo walipovunja na kukuta damu zimetapakaa nyumba nzima.
MKE APEWA MIMBA, MUMEWE KAZAWADIWA GARI LA MAMILIONI ASAMEHE