Michezo

Mwanasoka huyu wa Brazil afariki dunia kwa ajali asubuhi hii

on

Unknown

Mwanasoka wa kibrazil anayekipiga katika klabu ya Shakhtar Donetsk Maicon Pereira de Oliveira amefariki dunia kwa ajali ya gari.

Taarifa rasmi kutoka kwa klabu hiyo ya Ukraine ilieleza. 

“FC Shakhtar inasikitika kutangaza kwamba mnamo tarehe 8 mwezi huu, maisha ya mwanasoka Maicon Pereira de Oliveira yamefikia tamati.

kifo

“Amefariki kwenye ajali ya gari mjini .”

Maicon alijiunga na klabu hiyo ya Ukraine mnamo mwaka 2008 na kucheza katika mechi sita na kufunga bao moja. Hivi karibuni alijiunga kwa mkopo na vilabu vya Zorya Luhansk na Illichivets Mariupol.

 

Tupia Comments