Top Stories

Mwandishi wa ITV/Radio Kandonga afariki dunia

on

Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Mkoa wa Songwe, Gabriel Kandonga amefariki Dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Karasha mji mdogo wa Mlowo Mkoa wa Songwe.

Ripoti zinasema Kandonga alikuwa kwenye gari binafsi na mwenzake Aika Sanga, Mwandishi wa Clouds TV ambae amejeruhiwa na anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Songwe.

Tunatoa pole kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Kandonga pamoja na ITV/Radio One kwa kuondokewa na Mpendwa wao.

.

.

.

KANALI ALIYEMPINDUA RAIS CONDE, ATOA MSIMAMO MWINGINE, AGOMEA SHINIKIZO “HALALI YA WATU WA GUINEA”

WAZIRI MKUU ALIVYOKATAA KUFUNGUA OFISI YA TANESCO KYERWA “GHARAMA KUBWA KULIKO IDADI YA MAJENGO”

Tupia Comments