Bi Mwenda ni moja kati wa waigizaji wa muda kwenye soko la uigizaji Tanzania tangu anafanya tamthilia mpaka filamu. Mara nyingi tumekuwa tukimuoa akivaa uhusika wa mchawi, mganga ama mama anayejihusisha na imani za kishirikina, hali ambayo imesababisha watu wengine kufikiri kwamba ndivyo alivyo kwenye maisha yake nje ya camera.
>>>Mimi huwaga nashangaa jinsi ambavyo ma drector wanavyoniongoza pale, maana mimi ni msanii siwezi kukataa sehemu yoyote kwenda ni kama bakuli kwenye kabati mboga yoyote ile itapakua sana sana ma director wagu ndivyo wananielekezaga hivyo lakini sio mchawi, sina roho mbaya..
>>>Niliwahi kupigwa kipindi cha nyuma ilikuwa mwaka 2005, nilipigwa nikapigwa kariakoo,sabasaba nilipigwa, kwaajili naelewa kuwa hiyo i kazi yangu, sikuitilia maanani sana –Bi Mwenda
Video:Post za mastaa zilizo trend kwenye mitandao ya kijamii wiki hii>>>