Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mipango na Fedha akichukua nafasi ya Dr.Philip Mpango ambaye ameapishwa leo kuwa Makamu wa Rais.
Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Fedha
Leave a comment
Leave a comment