Mtoto Rackeem Shango ambaye ni shabiki wa timu ya Simba Sc amemzawadia BondiaHassan Mwakinyo jezi ya timu yake ambayo aliiandika jina la Mwakinyo kama zawadi kwa bondia huyo ambaye alipata ushindi katika pambano lake dhidi ya bondia Muargentina.
KIKWETE ALALAMIKA KUKOSA PAPA WANANCHI WAMJIBU “USHINDWI NA JAMBO”