AyoTV

VIDEO: Baada ya Ukawa kususia Bunge, Waziri Nape kawajibu haya..

on

Moja ya headline iliyochukua nafasi April 22 ni pamoja na hii ya Umoja wa vyama vya upinzani bungeni kutangaza kuwa havitashiriki kuchangia hoja mikutano yote inayoendelea hadi baadhi ya vipengele kama urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja kutofanyika.

Baada ya hayo yote, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anasema ‘Tunachotegemea wangewasilisha mpango mbadala kwa mwaka 2017/2017, badala yake mchana wakasema hawapo tayari, jioni wamekuja wanasema hatua zinazochukuliwa na Serikalini ni hatua zinzokiuka utaratibu‘ ;-Nape Nnauye

Tunachokiona hawa wenzetu pengine kasi ya hawamu ya tano inawashinda, sasa wanaamua kuweka vihoja n akushindwa kuweka mpango mbadala. Na kama hawana huo mpango mbadala basi si’mbaya waache mpango ulioletwa na Serikali upitishwe na utekelezwe‘ ;-Nape Nnauye

Ilikupita hii Video ya Sentensi za Mwita Waitara kuhusu matangazo ya Bunge kuzuiliwa?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments