AyoTV

Video: Alichokizungumza Waziri Nape wakati wa kumkabidhi Diamond bendera ya Taifa

on

January 14 2016 ufunguzi rasmi wa mashindano ya Africa Cup of Nation (AFCON) yanatarajiwa kuanza nchini Garbon Waziri Nnauye amemkabidhi bendera mwimbaji wa Tanzania Diamond Platnumz ambaye anakwenda kutumbuiza kwenye ufunguzi wa Mashindano hayo nchini Garbon.

Leo nina furaha  ya kumuaga ndugu yetu Diamond na kundi lake amabapo amepata fursa ya kupeperusha nchi yetu dunia kama nilivyosema kuwa AFCON ni mashindano makubwa na yanaangaliwa na dunia nzima kwa hiyo kwa tukio hili inaonyesha ni jinsi gani sanaa yetu ya Tanzania imekuwa kubwa ndio maana leo nipo hapa kwa niaaba ya Serikali kumpongeza Diamond na kumkabidhi bendera ya Tanzania‘>>> Nape Nnauye.

Diamond Platnumz alipokuja kuniambia aliniambia kuwa wanatarajia kwenda na timu kubwa Garbon hivyo tukajaribu kuwasaidia kidogo ndio maana mimi niliwafata Multchoice kupitia DSTV na wameweza kutusaidia tiketi sita za kwenda na kurudi kwa ajili ya msafara wa Diamond Platnumz‘>>>Nape Nnauye

ULIMISS ALICHIKIZUNGUMZA HARMONIZE KUHUSU KUACHANA NA WOLPER ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…

Tupia Comments