Top Stories

VideoFUPI: Balaa la Mvua Dar, Ndege ndogo ilivyopita kwenye maji ikijiandaa kupaa

on

Matukio kadhaa yamenaswa kwenye video kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Dar es salaam ambapo kwenye hii video, Watu wanaoaminika kuwa Wafanyakazi wa Airport Dar walionekana kuwa na hofu baada ya kuona Ndege ndogo ikijiandaa kupaa kwa kupita kwenye maji yaliyojaa kwenye sehemu ya barabara, tazama hapa chini kujionea

VIDEO: ATAKACHOKIFANYA MTOTO ANTHONY AKIPATA MSHAHARA WAKE WA KWANZA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments