Kama unakumbuka kulikuwa na mashindano ya Pop Stars miaka kadhaa iliyopita, majina matatu yakaibuka na ushindi alafu likaundwa kundi la ‘Wakilisha‘… hapo alikuwepo Witnesz, Shaa na marehemu Langa.
Wakilisha haijasikika kwenye ngoma ya pamoja lakini Shaa na Witnesz bado wako kwenye game… imenifikia ngoma mpya ya Witnesz ambapo amejipa na a.k.a ya ‘kibonge mwepec‘… wimbo unaitwa ‘Buku Jero‘
Hii video ni kazi nzuri iliyofanywa na kampuni ya mtu na mpenzi wake, yani Witnesz mwenyewe na Ochu Sheggy ambayo inaitwa oTchunes wakishirikiana na Dreams Multimedia studio.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE