AyoTV

Mabibi na mabwana! WEUSI wanayofuraha kukualika kutazama video yao mpya ya ‘gere’

on

Screen Shot 2014-05-02 at 6.03.45 AM Ni miongoni mwa single ambayo imepanda juu kwa haraka zaidi kwenye Clouds FM Top 20 ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo wakati audio ikiendelea kuchukua headlines, WEUSI wameidondosha video yake ambayo ilitazamwa kwa mara ya kwanza na waalikwa wachache kwenye party ya WEUSI April 30 2014.

Video imefanywa Kenya.

Baada ya kuitazama unaweza kuacha maoni yako hapa chini kwenye comments kisha WEUSI watayasoma yote leo jioni…

Unataka kupata kila stori inayoifikia millardayo.com ? kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi… ili niwe nakutumia kila kitu jiunge na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments