Top Stories

MAANDAMANO: “Rais wa ‘Wanyonge’ tusaidie Ngorongoro tunanyimwa Kilimo na Elimu” (+video)

on

Wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro wameandamana wakipinga kitendo cha Mamlaka ya Ngorongoro kudaiwa kuwanyima kibali cha ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana nakumuomba Rais kuingilia kwani kumekuwa na figisu kwa muda mrefu ili hali Serikali imetoa fedha pamoja na wananchi kuchangia.

Kamanda Mwanza na taarifa za Mtu kujirusha ghorofani bila kutokwa damu wala kuvunjika

 

Soma na hizi

Tupia Comments