
Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa pili ameanza kuzichukua headline baada ya kuingia studio kufanya collabo na wasanii sita kwenye single yake mpya akiwemo, Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee, na Jux.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameteaser kava la single hiyo mpya iitwayo Safari na kuwahabarisha mashabiki kuwa single hiyo mpya inatarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 6 mwezi huu.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook