Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mwingine apigwa risasi na kuuawa Mbeya, Magazeti ya Tanzania leo July 25, 2017

on

Kwenye Magazeti ya Tanzania leo Jluy 25, 2017 issue mbalimbali zimechukua headlines ambapo miongoni mwao ni kuhusu Mkazi mmoja wa Kyela, Mbeya Erick Mwangonda kuuawa kwa risasi na watu wasiofahamika akiwa kwenye banda lake la biashara.

Mwendesha Bajaj mkazi wa Njoro, Moshi ameuawa na mwili wake kufukiwa nyuma ya nyumba ya mtuhumiwa wa mauaji hayo wilayani Siha, Kilimanjaro.

ULIPITWA? Alichozungumza mke wa Lissu baada mume wake kukosa dhamana…PLAY kwenye VIDEO hii kutazama!!!

ULIPITWA? “Matatizo yaliyopo kwenye uwezo wa Kiongozi na hakuyatatua, nalala mbele na huyo Kiongozi” – JPM

Soma na hizi

Tupia Comments