Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wahalifu 13 wameuawa na Polisi Kibiti, SMG 8 zakamatwa
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Wahalifu 13 wameuawa na Polisi Kibiti, SMG 8 zakamatwa
Top Stories

Wahalifu 13 wameuawa na Polisi Kibiti, SMG 8 zakamatwa

August 10, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Watu 13 wanaosadikiwa kuwa wahalifu wameuawa na Polisi katika majibizano ya risasi baina yao katika Kijiji cha Miwaleni kilichopo Tarafa ya Kibiti walipokuwa wakifanya mauaji.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema wahalifu hao wamekutwa na bunduki Nane aina ya SMG, risasi 158, Pikipiki Mbili na begi moja la nguo.

Wahalifu 13 wameuawa na Polisi baada ya majibizano ya risasi eneo la Tangibovu Kibiti, wakutwa na bunduki 8 na pikipiki mbili pic.twitter.com/GbIpeh7yn4

— millardayo (@millardayo) August 10, 2017

ULIPITWA? Polisi Dodoma kuhusu mwanamke aliyeuawa na kutenganishwa kichwa…tazama kwenye video hii hapa chini!

Kwenye hii video kuna UFAFANUZI kuhusu Polisi kudaiwa kumpiga risasi mke wa Mwenyekiti, Mwanza…tazama kila kitu!!!

You Might Also Like

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

TAGGED: kamanda sirro, TZA HABARI
Admin August 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rubani afariki wakati anarusha Ndege Monduli
Next Article VIDEO: Kampeni inayoendelea Zanzibar, vijana kunufaika nayo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?