Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo April 9, 2019, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
JAMAA KAWEKA WAZI MBELE YA JAJI YEYE NA DEREVA WALIVYOMZIKA MWANAFUNZI