Mix

Ni NMB tena, imeibuka na ushindi ktk kuwasilisha taarifa ya fedha

on

Maafisa wa benki ya NMB (toka kushoto) Evarist Webby, Jonathan Eliamlisi, Deogratias Usangira na Israel Kingu wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupokea tuzo hii  ya ushindi wa kwanza  wa kuwasilisha taarifa ya fedha ya mwaka 2012 kutoka kwenye  Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu nchini katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni mkoani Arusha

.

Maafisa wa benki ya NMB (toka kushoto) Evarist Webby, Jonathan Eliamlisi, Deogratias Usangira na Israel Kingu wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupokea tuzo hii ya ushindi wa kwanza wa kuwasilisha taarifa ya fedha ya mwaka 2012 kutoka kwenye Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu nchini katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni mkoani Arusha.

Meneja wa Fedha wa Benki ya NMB,  Deogratias Usangira akipokea Tuzo kutoka kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Goodluck Ole Medeye. Benki  ya NMB imepokea tuzo hii  ya ushindi wa kwanza  wa kuwasilisha taarifa ya fedha ya mwaka 2012 kutoka kwenye  Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu nchini. Hafla hii ya makabidhiano ilifanyika hivi karibuni mkoani Arusha.

Tupia Comments