Habari za Mastaa

ROSTAM waisusia video yao mpya.? Wake zao wamezungumza ‘Nisher mswahili’

on

Wakali wa Hip Hop ROSTAM wamewakilishwa na wake zao kwenye utambulishwaji wa wimbo wao mpya wa ‘Kaolewa’ huku kukiwepo taarifa za kwamba wakali hao wamewasusia wake zao wimbo huo. Sasa kupitia camera ya Ayo TV wake zao wamelijibu hilo na mengineyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: “Tunda aliwahi kuwa mpenzi wangu, nasikia kaachana na Casto arudi tufunge ndoa”

LULU: “Majizo amenipa upendo kama Baba, tumepitia wakati mgumu”

Soma na hizi

Tupia Comments