AyoTV

VIDEO: Ukikasirika vunja TV nyumbani kama huna uvumilivu wa uwanjani – NAPE

on

February 23 2017 wakati wa uzinduzi wa mfuko wa kuchangia Serengeti Boys Waziri wa habari, Sanaa, utamaduni na michezo Nape Moses Nnauye amezungumzia kuhusu mashabiki wataokwenda kutazama mechi ya Simba na Yanga Jumamosi hii February 25 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Waziri Nape amewashauri tu mashabiki ambao hawawezi kuwa na uvumilivu pale matokeo ya mechi yanapokuwa mabaya kwa upande waoJumamosi kuna mechi ya Simba na Yanga mtakumbuka mechi iliyopita kulikuwa na matatizo lakini nawaomba watanzania tuweke ustaarabu na uzalendo wetu mbele”

“Kama ukikasirika kunywa maji au nenda nyumbani, tunaomba tusiharibu miundombinu ya uwanja, Simba wanajua gharama waliyotumia kuukarabati uwanja ule, ukiona huna moyo wa kukaa uwanjani basi kaa nyumbani kwako angalia katika TV ukikasirika vunja TV yako” – Nape

FULL HD: All goals N’gaya vs Yanga February 12 2017, Full Time 1-5

VIDEO: Tambwe alivyosababisha zaidi ya viti 200 kuvunjwa uwanja wa taifa, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments